Makumbusho ya Alkafeel imepokea ugeni wa makumbusho ya umma kutoka Mosul.

Ugeni wa makumbusho ya umma kutoka katika mji wa Mosul umetembelea kumbi za makumbusho ya Alkafeel.

Kiongozi wa makumbusho ya umma Sayyid Ahmadi Aamir Almukhtaar amesema “Hakika makumbosho ya Alkafeel inautaratibu mzuri wenye mafanikio, tunatamani utumike na makumbusho zote za Iraq, tunafahari kubwa kufanya kazi ya makumbusho, kupitia kazi tukufu ya kutunza, kuonyesha na kurepea mali-kale”.

Akasisitiza kuwa, Iraq inahaja ya kuwa na makumbusho kama hizi, akasema: Ziara tunazofanya mara kwa mara katika makumbusho ya Alkafeel ni sehemu ya kuimarisha ushirikiano na kubadilishana uzowefu katika mambo ya makumbusho hapa Iraq.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: