Mji wa Karbala umepokea mamilioni ya watu katika mwezi huu wa Safar wanaokuja kufanya ziara katika malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) na kuomboleza msiba wa Ahlulbait (a.s).
Atabatu Abbasiyya tukufu kupitia vitengo vyake hufanya kila liwezekanalo katika kuhudumia mazuwaru na kukidhi mahitaji yao.