Kitengo cha malezi na elimu kinaendelea na maandalizi ya kupokea mwaka mpya wa masomo

Kitengo cha malezi na elimu katika Atabatu Abbasiyya, kinaendelea na maandalizi ya kupokea mwaka mpya wa masomo.

Mkuu wa shule za Al-Ameed za wasichana Sayyid Ibrahim Alkhatwabi amesema “Kitengo cha malezi na elimu kinaendelea na maandalizi ya mwaka mpya wa masomo, kwa lengo la kufanikisha mkakati wake”.

Akaongeza kuwa “Watumishi wanajipanga kwa ajili ya mwaka mpya wa masomo, wanaandaa majengo na vifaa vya kufundishia”.

Akabainisha kuwa “Maandalizi yanahusisha mambo mengi, miongoni mwa mambo hayo ni ratiba za masomo kwa lengo la kufanya kila kinachohitajika kwa mwanafunzi”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: