Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa Jumatano ya kesho tunakamilisha mwezi wa Safar.

Ofisi ya Muheshimiwa Ayatullahi mkuu Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa Jumatano ya kesho tarehe (4/9/2024m) tunakamilisha mwezi wa Safar, na siku ya Alkhamisi ndio siku ya kwanza ya mwezi wa Rabiul-Awwal mwaka 1446h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: