Idara ya Fatuma binti Asadi (a.s) ya masomo ya Qur’ani katika Atabatu Abbasiyya, imetangaza program ya (Manaahil-Rawiyya) kwa wasichana.
Program inafanywa Ijumaa ya kesho tarehe 13/9/2024m kwenye kituo cha Swidiqatu-Twahirah (a.s).
Program itahusisha usomaji wa Qur’ani tukufu, Dua ya Nudba pamoja na mambo mengine yanayohusu Qur’ani tukufu