Dua husomwa katika mazingira tulivu yaliyojaa baraka za mnasibishwa wa dua hiyo.
Watumishi wa kitengo cha Maqaam huandaa sehemu maalum ya kusomea Dua, huweka vitabu vya Dua, hupuliza marashi, huwekwa muongozaji wa Dua sambamba na kutoa huduma zingine zinazohitajika.