Waumini waliokuja kufanya ziara katika malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) wamehuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo takatifu.
Mji wa Karbala hupokea idadi kubwa ya watu wanaokuja kufanya ziara katika Ataba mbili tukufu Husseiniyya na Abbasiyya na kuonyesha utiifu wao kwa Ahlulbait (a.s).
Atabatu Abbasiyya hufanya kila iwezalo katika kuhudumia mazuwaru watukufu.