Kitengo cha habari kimechapisha toleo la 494 la jarida la Swada-Raudhataini.

Kitengo cha habari katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kimechapisha toleo la 494 la jarida la Swada-Raudhataini.

Jarida limeandika mafanikio ya Atabatu Abbasiyya na harakati zinazofanywa na vitengo vyake, nalo ni chapisho la kwanza katika historia ya Ataba tukufu, linachapishwa na idara ya habari za maandishi chini ya kitengo, toleo hili linakurasa 84 zimejaa matukio na harakati zinazofanywa na Ataba tukufu, ikiwa ni pamoja na makongamano na mikutani ya kidini na kitamaduni.

Jarida limeandika hakiki mbalimbali na kujadili mambo ya kitamaduni na kielimu yabayoikumba jamii ya kiislamu na kiiraq.

Limeandika mambo mbalimbali na matukio muhimu yanayofanywa na vitengo vya Ataba tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: