Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu
Uongozi mkuu wa Ataba mbili takatifu Husseiniyya na Abbasiyya utafanya majlisi ya kumsomea dua Allamah Hujjatu-Islami wal-muslimina Sayyid Hassan Nasrullah na wenzake katika wapiganaji wa Lebanon tukufu na makumi ya wananchi wa taufa hilo waliouawa.
Dua itasomwa Jumapili tarehe 25 Rabiul-Awwal 1446h sawa na tarehe 29/9/2024m saa nane mchana katika eneo la katikati ya haram mbili tukufu na itadumu kwa muda wa siku tatu.