Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya umefanya shindano la kitamaduni katika kumbikizi ya kuzaliwa Bibi Zainabu (a.s).
Majina ya washindi kumi wa mwanzo yatatangazwa mchana wa Jumatano ya tarehe (6/11/2024m) kwenye jukwaa la Ataba tukufu.
Washindi watatakiwa kwenda idara ya wahasibu wa Atabatu Abbasiyya kupokea zawadi ndani ya muda usiozidi siku nne (4) toka kutangazwa matokeo, wakiwa na nyaraka za kuwathibitisha (kitambulisho cha uraia au hati ya kusafiria).