Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa Jumapili ya kesho tunakamilisha mwezi wa Rabiul-Aakhar.

Ofisi ya Marjaa-Dini mkuu Sayyid Ali Sistani katika mji wa Najafu imetangaza kuwa Jumapili ya kesho tunakamilisha mwezi wa Rabiul-Aakhar, Jumatatu ya tarehe (04/11/2024m) ndio siku ya wanza ya mwezi wa Jamadal-Uula mwaka 1446h.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: