Uchapichwaji wa vitabu hivyo umesimamiwa na idara ya watoto na makuzi chini ya kitengo, vitabu vinalenga tabaka la watoto na vijana, ili kuwapa mafundisho sahihi ya kiislamu na uelewa wa Dini yao.
Kiongozi wa idara Sayyid Hasanaini Faruqu amesema “Vitabu vimeandikwa visa vya manabii, akiwemo Nabii Nuhu, Yusufu, Mussa, Ibrahimu, Zakariya, na Nabii Shuaibu (a.s)”.
Akaongeza kuwa “Visa vimeandikwa kwa mfumo rahisi unaoendana na kiwango cha uelewa wa watoto na vijana, kwa lengo la kujenga misingi ya Dini yao”.




