Yafuatayo ni majina ya washindi:
- Hussein Ahmad Zaaid Sahalani/ Dhiqaar.
- Haidari Abdulhussein Zawiin/ Najafu Ashrafu.
- Haidari Mahi Abudi Swaaigh/ Karbala takatifu.
- Swadiq Mahadi Abbasi Swadiq/ Karbala takatifu.
- Ghasaan Alawi Muhammad Kawamu/ Dhiqaar.
- Muhammad Fadhili Dhwahir Husseinawi/ Dhiqaar.
- Israa Nasoro Hussein Qarghuli/ Dhiqaar.
- Batuli Saad Ismaili Lohili/ Basra.
- Fatuma Ali Haamid Saburi/ Baabil.
- Hifaa Swahibu Mustwafa Alhasani/ Baghdad.
Sharti la kupokea zawadi mshindi anatakiwa awepo kwenye hafla ya kuadhimisha mazazi ya Bibi Zainabu (a.s), itakayofanywa kwenye uwanja wa mlango wa Qibla ya Abulfadhil Abbasi (a.s) siku ya Ijumaa (8/11/2024m) baada ya swala ya Magharibi na Isha.
Iwapo mshindi atapata udhuru wa kushindwa kuhudhuria, atatakiwa kufika katika kitengo cha wahasibu wa Atabatu Abbasiyya ndani ya siku (4) toka kutolewa tangazo hili, akiwa na nyaraka zinazo mtambulisha (kitambulisho cha uraia au hati ya kusafiria).