Shada za maua zimepamba dirisha la malalo takatifu katika kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Zainabu (a.s).

Idara ya kusimamia haram tukufu katika Atabatu Abbasiyya, imeweka shada za maua katika malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) kufuatia maadhimisho ya kuzaliwa Bibi Zainabu (a.s).

Watumishi wa Idara hiyo wamezowea kuadhimisha matukio tofauti yanayohusu Ahlulbait (a.s), ikiwemo kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Zainabu (a.s).

Atabatu Abbasiyya huweka muonekano wa furaha kwa kupanga shada za maua juu ya dirisha la kaburi takatifu katika kuadhimisha mazazi ya Ahlulbait (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: