Atabatu Abbasiyya imewapa zawadi washindi wa shindano la kuadhimisha mazazi ya Bibi Zainabu (a.s)

Atabatu Abbasiyya tukufu imewazawadia washindi wa shindano lililoendeswa kwa njia ya mtandao, kufuatia maadhimisho ya kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Zainabu (a.s).

Zawadi zimetolewa katika hafla ya kuadhimisha mazazi ya Bibi Zainabu (a.s) iliyofanywa kwenye uwanja wa mlango wa Qibla ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Idadi ya washiriki ilifika (3037), majibu sahihi yalikuwa (1135) na majibu yasiyosahihi (1902), washindi kumi wamepatikana baada ya kupiga kura.

Yafuatayo ni majina ya washindi:

  • 1- Hussein Ahmadi Zaidi Sahalani/ Dhiqaar.
  • 2- Haidari Abdulhussein Zawin/ Najafu Ashrafu.
  • 3- Haidari Muhyi Abudi Swaaigh/ Karbala takatifu.
  • 4- Swadiq Mahadi Abbasi Swafi/ Karbala takatifu.
  • 5- Ghasani Alawi Muhammad Kawam/ Dhiqaar.
  • 6- Muhammad Fadhili Dhwahir Hasanawi/ Dhiqaar.
  • 7- Israa Naswiru Hussein Qarghuli/ Dhiqaar.
  • 8- Batuli Saadi Ismaili/ Basra.
  • 9- Fatuma Ali Haamid Saburi/ Baabil.
  • 10- Haifaa Swahibu Mustwafa Hassani/ Baghdad.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: