Majmaa-Ilmi imechapisha kitabu kipwa kinacho elezea uwelewa wa Amani ya kifikra katika Qur’ani tukufu

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya, imechapisha kitabu kipya chenye anuani isemayo (Uwelewa wa Amani ya kifikra katika Qur’ani tukufu na sunna takatifu) kutokana na utunzi wa Sayyid Nabiil Hasani Karbalai.

Kitabu kimeandika kuhusu uwelewa wa Amani ya kifikra katika Qur’ani tukufu na sunna takatifu, kimebainisha umuhimu wa uwelewa huo na athari yake katika kulinda mtu na jamii kutokana na uwelewa potofu na matokeo yake mabaya hususan katika changamoto za sasa.

Kitabu hicho kinachapishwa kidogo kidogo kwa anuani ya (Qutufu), kimeandika madhumuni ya Qur’ani tukufu, kwa lengo la kumfundisha msomaji mambo yanayohusu Qur’ani kwa muda mfupi na njia rahisi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: