Idara ya Fatuma binti Asadi ya masomo ya Qur’ani inaomboleza kifo cha Bibi Zaharaa (a.s)

Idara ya Fatuma binti Asadi ya masomo ya Qur’ani chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, imefaya majlisi ya kuomboleza kifo cha Fatuma Zaharaa (a.s) kwa mujibu wa riwaya ya tatu.

Majlisi imefanywa ndani ya kituo cha Swidiqatu Twahirah (a.s) chini ya utaratibu wa kila wiki uitwao (Manaahil Rawiyya) ulioandaliwa na idara, na kuhudhuriwa na kundi kubwa la waumini wa kiume na kike. Ratiba imehusisha usomaji wa juzu la Qur’ani tukufu, Dua Nudba na historia ya Bibi Zaharaa (a.s), dhulma alizofanyiwa, hakika yeye ni mfano wa kuigwa katika maisha yetu.

Idara ya Fatuma binti Asadi hufanya ratiba ya masomo ya Qur’ani (Manaahil Rawiyya) asubuhi ya kila siku ya Ijumaa na hutoa wito kwa ujumla kwa wanawake wote.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: