Majlisi imefanywa ndani ya ukumbi wa malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) na itadumu kwa muda wa siku tatu.
Majlisi ya asubuhi imejikita kwenye kueleza historia ya Ummul-Banina (a.s) na matukio makubwa katika maisha yake.
Atabatu Abbasiyya imeandaa ratiba maalum ya kuhuisha matukio yanayohusu Ahlulbait (a.s) yenye vipengele vingi.






