Toleo la 213 la jarida la Riyadhu Zaharaa (a.s)

Hivi karibuni maktaba ya Ummul-Banina (a.s) katika Atabatu Abbasiyya, imechapisha tolea la 213 la jarida la Riyadhu Zaharaa (a.s) la kila mwezi.

Nalo ni jarida la kwanza kuchapishwa na Ataba tukufu katika mwaka wa 2003.

Toleo jipya limeandika mambo mengi yanayohusu Fiqhi, Aqida, Qur’ani, Malezi, Elimu, Utamaduni, Jamii, Afya pamoja na mambo mengine.

Jarida lina anuani tofauti, miongoni mwa anuani hizo ni: Katika kivuli cha serikali ya Mahdawiyyah, Athari za video fupi katika fikra, Bibi Fatuma Zaharaa (a.s) ni kielielezo cha maarifa na utukufu duniani, vijana ni kizazi cha wenye msimamo na zinginezo.

Unaweza kusoma jarida hilo kupitia link ya mtandao wa jarida la Riyadhu Zaharaa (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: