Shule za Al-Ameed zimeandaa somo la kielimu kwa wanafunzi wa Najafu

Shule za Al-Ameed chini ya kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya, zimeandaa somo la kielimu kwa wanafunzi wake katika mkoa wa Najafu.

Somo limetolewa ndani ya malalo ya kiongozi wa waumini Imamu Ali bun Abu Twalib (a.s) kwa kufuata mfumo wa malezi ya kiislamu, kwa wanafunzi wa ngazi ya sekondari (Thanawi).

Somo limehusu maisha ya Imamu Ali (a.s), nasaba yake, historia yake, nafasi yake katika uislamu, athari zake na kifo chake.

Somo limetolewa kwa kufuata mfumo wa shule za Al-Ameed katika ufundishaji wa masomo ya kisekula kwa wanafunzi wa sekondari (Thanawi).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: