Tamko la uongozi huo linasema “Kutokana na kifungu cha (11) mlango wa tatu wa kanuni za idara za Ataba takatifu na mazaru za kishia tukufu namba (19) ya mwaka 2005, tunakubaliana na majina yafuatayo kuwa ndio kamati kuu ya uongozi wa Atabatu Abbasiyya tukufu”.
Kwa mujibu wa tamko hili, wajumbe wa kamati kuu ya Ataba tukufu ni:
- Ustadh Muhandisi Abbasi Mussa Ahmadi Juudi Alkarkhi … makamo katibu mkuu.
- Sayyid Liith Najmi Abdullahi Alwani Mussawi … mjumbe.
- Sayyid Muhammad Abdulhussein Kaadhim Ashiqar … mjumbe.
- Sayyid Abbasi Rashidi Wahabi Didah Mussawi … mjumbe.
- Sayyid Afdhalu Abbasi Mahadi Shami … mjumbe.
- Sayyid Kaadhim Abdulhusein Alkinani … mjumbe.