Kitengo kinachosimamia ukanda wa kijani kibichi kimeandaa hafla ya kuadhimisha mazazi ya Imamu Aljawaad (a.s)

Kitengo kinachosimamia ukanda wa kijani kibichi chini ya Atabatu Abbasiyya, kimeandaa hafla ya kuadhimisha mazazi ya Imamu Muhammad Aljawaad (a.s).

Rais wa kitengo, Sayyid Nasoro Hussein Khuz’ali amesema “Kitengo kimeandaa hafla ya kuadhimisha mazazi ya Imamu Muhammad Aljawaad (a.s) kwa kushirikiana na kitengo cha Maadhimisho na mawakibu Husseiniyya”.

Akaongeza kuwa “Hafla inavipengele mbalimbali ikiwemo qaswida na tenzi zinazoonyesha mapenzi kwa Ahlulbait (a.s), pamoja na kugawa zawadi kwa wahudhuriaji”.

Akabainisha kuwa “Kitengo kimekuwa kikifanya maadhimisho kama haya kwenye kila tukio tukufu linalohusu Ahlulbait (a.s)”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: