Atabatu Abbasiyya itafanya majlisi ya kuomboleza kifo cha Bibi Zainabu (a.s)

Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya utafanya majlisi ya kuomboleza kifo cha Bibi Zainabu Alkubra (a.s).

Shekhe Abdullahi Dujaili atapanda mimbari baada ya swala ya Magharibi na Isha/ siku ya Jumatano 14 Rajabu 1446h sawa na 15/1/2025m.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: