Amesema kuwa nchi zilizojiandaa kushiriki zimefika (7) kutoka sehemu tofauti ya dunia, washindani jumla wapo kumi, viwango vya washindani na umri wao utaongeza uzuri wa tukio hilo.
Yafuatayo ni majina ya washiriki:
- 1- Yusufu Yasini Mahusi / Iraq
- 2- Yusufu Mahana / Iraq.
- 3- Muhammad Ali Swadiq / Iraq.
- 4- Omari Ali Audh Muhammad Atwiyya / Misri.
- 5- Izudini Alfatwimi / Moroko.
- 6- Muhammad Hussein Iqbali / Iran.
- 7- Amiri Hussein Baaqiri / Iran.
- 8- Othuman Baluquf / Naijeria.
- 9- Muhammad Salmaan / Pakistani.
- 10- Muhammad Ifhamu Siyakori Isyafi / Indonesia.
Kutokana na utaratibu wa zawadi ya Al-Ameed, Kamari ya maandalizi ya shindano itaanza kuwasiliana na washiriki kwa ajili ya kuandaa safari zao pamoja na washindikizaji wao kuja Iraq, wanatarajiwa kupokewa hapa Iraq mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza.
Iwapo mshindani atapata udhuru wa kushindwa kuja kushiriki, atateuliwa anaemfu ata kwa nafasi.