Idara ya wahadhiri tawi la wanawake imeadhimisha mazazi ya miezi ya Muhammadiyya

Idara ya wahadhiri wa Husseiniyya tawi la wanawake katika Atabatu Abbasiyya imefanya hafla ya kuadhimisha mazazi ya miezi ya Muhammadiyya kwa kushirikiana na kituo cha Swidiqatu-Twahirah (a.s) katika Ataba tukufu.

Hafla imefunguliwa kwa Qur’ani iliyofuatiwa na igizo lenye anuani isemayo “Ismatul-Mu’taswimina”, limeonyesha sehemu ya maisha ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s).

Hafla imepambwa na shindano la Aqmaaru-Sha’baniyya, washindi wamepewa zawadi kutoka katika malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Hafla ikahitimishwa kwa kusoma tenzi maalum kuhusu maadhimisho hayo matukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: