Makundi ya waumini wanahuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Mji wa Karbala umeshuhudia idadi kubwa ya mazuwaru wanaokuja kuhuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Mji wa Karbala hupokea idadi kubwa ya watu wanaokuja kufanya ziara mbele ya malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) na kuhuisha utiifu wao kwa Ahlulbait (a.s).

Atabatu Abbasiyya kupitia vitengo vyake inafanya kazi kubwa ya kuhudumua mazuwaru na kutekeleza mahitaji yao.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: