Kazi ya usafi imehusisha uwanja wa katikati ya haram mbili na barabara zinazo zunguka eneo hilo, kwa lengo la kudumisha usafi na kuweka muonekano mzuri, kazi hiyo imeanza baada ya kukamilika ziara ya nusu ya mwezi wa Shabani na maadhimisho ya kuzaliwa Imamu Mahadi (a.s).
Akasisitiza kuwa kazi ya usafi haishii kipindi cha baada ya ziara peke yake, huendelea siku zote ili kuweka mazingira mazuri kwa mazuwaru.
Atabatu Abbasiyya tukufu imepokea makundi makubwa ya mazuwaru waliokuja katika malalo takatifu.










