Chuo kikuu cha Alkafeel kimepokea wageni madaktari bobezi kutoka nchini Swiden

Rais wa chuo Dokta Nurus Dahani amesema “Ugeni wa madaktari wa kiiraq wanaoishi nchini Swiden, wametembelea chuo na kuangalia mazingira ya elimu”.

Akaongeza kuwa “Wageni wameangalia kumbi za madarasa, maabara, vifaa vya kufundishia na mfumo wa ufundishaji, wamesifu maendelea yaliyofuikiwa na chuo”.

Akaendelea kusema “Atabatu Abbasiyya imekuwa ikifanya kila iwezalo katika kuboresha sekta ya elimu na kuwa chuo cha mfano katika taifa hili”, akasema kuwa chuo kikuu cha Alkafeel kinatekeleza maono ya Atabatu Abbasiyya tukufu katika sekta hiyo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: