Ofisi ya Sayyid Sistani imetoa ratiba ya muda wa kufunga na kungua katika mwezi wa Ramadhani

Ofisi ya Marjaa-Dini mkuu Sayyid Ali Sistani siku ya Jumatano, imetoa ratiba ya muda wa kufunga na kufungua katika mwezi mtukufu wa Ramadhani wa mwaka 2025/ 1446m, kwa mikoa yote ya Iraq, na imesema siku ya tarehe mbili Machi ndio siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: