Makundi ya waumini yanahuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s)

Mji mtukufu wa Karbala umeshuhudia idadi kubwa ya mazuwaru waliokuja kuhuisha usiku wa Ijumaa katika malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Mji wa Karbala hupokea idadi kubwa ya watu wanaokuja kufanya ziara katika malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) na kuhuisha utiifu wao kwa Ahlulbait (a.s).

Atabatu Abbasiyya tukufu hutoa huduma mbalimbali kwa mazuwaru, kupitia vitengo vyake vyote.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: