Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa siku ya Jumapili ndio mwanzo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Ofisi ya Muheshimiwa Ayatullahi Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu, imesema kuwa Jumapili ya tarehe (2/3/2025m) ni siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka 1446 hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: