Chuo kikuu cha Alkafeel kimefanya semina ya kuwajengea uwezo watumishi wake kuhusu mtandao wa web

Kituo cha elimu endelevu katika chuo kikuu cha Alkafeel, kimefanya semina yenye anuani isemayo (Kuboresha mitandao ya web) kwa watumishi wake.

Semina itadumu siku tatu katika kitivo cha uhandisi kwenye chuo kikuu cha Alkafeel, Dokta Ali Fuadi Hamami katika siku ya kwanza ameeleza kuhusu mtandao wa web pamoja na kuifafanua kwani ndio kiungo muhimu, sambamba na kutaja majina mengi yanayo tumika kwenye mtabdao wa web, na kueleza misemo maarufu inayotumika katika web, pamoja na kutaja lugha zinazotumika katika kuendeleza mitandao ya mawasiliano ya kijamii.

Semina inalenga kuwawezesha walimu na watumishi wa chuo kutambua program za mitanfao ya kijamii.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: