Ofisi ya Sayyid Sistani imetaja kiwango cha zakatul-fitri

Ofisi ya Muheshimiwa Marjaa-Dini mkuu Ayatullahi Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu, imetaja kiwango cha zakatul-fitri mwaka huu kuwa na thamani ya Dinari (1500) unga wa mtu mmoja.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: