Mji mtukufu wa Karbala, umeshuhudia idadi kubwa ya mazuwaru waliokuja kuhuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Mji wa Karbala hupokea idadi kubwa ya watu wanaokuja kutembelea malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) na kuhuisha utiifu wao kwa Ahlulbait (a.s).
Atabatu Abbasiyya tukufu imeweka mkakati maalum wa kuhudumia mazuwaru na kukidhi mahitaji yao.







