Atabatu Abbasiyya tukufu imempokea rais wa habari na mawasiliano

Atabatu Abbasiyya imempokea rais wa habari na mawasiliano Dokta Naufal Abu Raghifu.

Amepokewa na mkuu wa ofisi ya kiongozi mkuu katika Atabatu Abbasiyya Sayyid Jawadi Hasanawi na rais wa kitengo cha mahusiano Sayyid Muhammad Ali Azhar.

Hasanawi amesema, Abu Raghifu amezuru malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s), na kuangalia huduma wanazopewa mazuwaru sambamba na kuangalia baadhi ya miradi ya Ataba tukufu inayochangia katika kuhudumia jamii.

Atabatu Abbasiyya hupokea wageni mbalimbali na kuwatembeza katika miradi tofauti inayohudumia mazuwaru.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: