Kundi la mazuwaru linahuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s)

Kundi la mazuwaru limehuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Mji mtukufu wa Karbala hupokea idadi kubwa ya mazuwaru wanaokuja kufanya ziara kwenye malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) na kuhuisha utiifu wao kwa Ahlulbait (a.s).

Atabatu Abbasiyya imeandaa mkakati wa ulinzi, afya na utoaji wa huduma, sambamba na kuratibu matembezi ya mazuwaru mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: