Kitengo cha miradi ya kihandisi kimetangaza nafasi za kazi kwa wataalam wa mambo ya sauti

Kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya, kimetangaza nafasi za kazi kwa wataalamu wa mambo ya sauti.

Kitengo kimetangaza kuwa na haja kubwa ya watu wenye utaalam mkubwa wa mambo ya sauti kwenye idara ya mawasiliano na teknolojia.

Kwa maelezo zaidi na namna ya kutuma maombi ya kazi piga namba ifuatayo: (07602319999).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: