Atabatu Abbasiyya imefungua mtandao wake rasmi kwenye whatsapp

Atabatu Abbasiyya tukufu imefungua mtandao wake rasmi kwenye whatsapp.

Atabatu Abbasiyya inalenga kuimarisha mawasiliano ya moja kwa moja kati yake na mazuwaru kutoka maeneo tofauti duniani kupitia mtandao huo.

Kila kitu kipya kuhusu harakati za kidini, kijamii na kitamaduni kitawekwa kwenye mtangao huo, zikiwepo picha za mnato, video, ripoti na mengineyo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: