Atabatu Abbasiyya imeandaa maelfu ya zawadi itakazogawa kwa mazuwaru siku ya Idul-Ghadiir

Wahudumu wa kitengo cha kusimamia haram katika Atabatu Abbasiyya wameandaa maelfu ya zawadi za kugawa kwa mazuwaru siku ya Idul-Ghadiir.

Ataba inajitahidi kuweka mazingira ya furaha kwa mazuwaru wa malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) katika tukio hili la kumbukumbu ya kupewa Uimamu.

Atabatu Abbasiyya tukufu inazingatia sana kuhuisha matukio ya kidini kwa kufanya program za kitamaduni na kutoa huduma mbalimbali, sambamba na kujenga uwelewa wa Dini kwa mazuwaru.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: