Shughuli ya kupandisha bendera katika Atabatu Alawiyya imepambwa na qaswida na tenzi kuhusu tukio hilo.
Upandishaji wa bendera ya wilaya ni sehemu ya kuhuisha utiifu kwa Imamu Ali bun Abu Twalib (a.s), alieteuliwa na Mtume (s.a.w.w) kuwa khalifa wake katika bonde la Ghadiir-Khum baada ya Hijjatul-Wadaa.