Mazuwaru wanahuisha usiku wa Ijumaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s)

Makundi ya mazuwaru yamehuisha usiku wa Ijmaa mbele ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Mji mtukufu wa Karbala hupokea idadi kubwa ya watu wanaokuja kufanya ziara katika malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) na kuhuisha utiifu wao kwa Ahlulbait (a.s).

Atabatu Abbasiyya tukufu imeandaa utaratibu bora wa kutoa huduma mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kusimamia matembezi ya mazuwaru mbele ya malalo takatifu ya Abulfadhil Abbasi (a.s).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: