Atabatu Abbasiyya tukufu imefanya majlisi ya kuomboleza Ahlulbait (a.s) ndani ya ukumbi wa utawala.
Mzungumzaji alikuwa ni Shekhe Abdullahi Dujaili, ametaja historia ya Ahlulbait (a.s) na nafasi yao katika kufundisha misingi ya Dini ya kiislamu.
Majlisi ni sehemu ya ratiba ambayo hutekelezwa na Ataba tukufu katika kuhuisha matukio yanayohusu Ahlulbait (a.s) na wafuasi wao.