Kitengo kinacho simamia haram tukufu ya Atabatu Abbasiyya, kimegawa halwa (pipi) kwa mazuwaru katika kuadhimisha siku ya Mubahala (kuapizana).
Wahudumu wa malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) wamegawa halwa (pipi) kwa mazuwaru ikiwa ni sehemu ya kuonyesha furaha ya kuadhimisha tukio tukufu la Mubahala (kuapizana).
Ataba takatifu huadhimisha matukio ya kidini chini ya sera yake ya kutoa mafundisho ya kijamii na kidini katika jamii.