Marjaa-Dini mkuu Sayyid Sistani ametangaza kuwa Ijumaa ya kesho ni siku ya kwanza katika mwezi wa Muharam

Ofisi ya Muheshimiwa Marjaa-Dini mkuu Sayyid Ali Sistani katika mji wa Najafu, imetangaza kuwa Ijumaa ya kesho (27/06/2025m) ni siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Muharam mwaka 1447 hijiriyya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: