Atabatu Abbasiyya imepokea maelfu ya mazuwaru katika mazingira yaliyojaa huzuni na majonzi

Atabatu Abbasiyya imepokea maelfu ya mazuwaru katika mazingira yaliyojaa huzuni na majonzi karibu na muda wa kubadili bendera ya kubba la Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) ikiwa ni ishara ya kuingia mwezi mtukufu wa Muharam mwaka 1447h.

Ataba tukufu imeweka vitambaa vinavyo ashiria huzuni na majonzi ndani ya ukumbi wa haram tukufu na kwenye uwanja wa katikati ya haram mbili katika kuupokea mwezi wa Muharam na Safar.

Ataba imeweka utaratibu maalum wa kubadili bendera ya kubba la malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) Kaaba ya swala ya Magharibi na Isha.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: