Majlisi ya kuomboleza.. Idara ya wahadhiri wa Husseiniyya imehuisha siku ya pili ya mwezi wa Muharam

Idara ya wahadhiri wa Husseiniyya tawi la wanawake chini ya ofisi ya kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya, imefanya majlisi ya kuomboleza katika siku ya pili ya mwezi wa Muharam.

Majlisi za Husseiniyya zinafanywa chini ya program ya “Manaahil Rawiyya”, inayosimamiwa na idara ya Fatuma binti Asadi (a.s) katika Ataba tukufu.

Majlisi imefunguliwa kwa kusoma Qur’ani tukufu na Dua Nudba, ukafuata muhadhara wenye anuani isemayo (Almawaddah), imefafanua mafungamano ya kweli ya Ahlulbait (a.s) pamoja na kueleza masharti ya mawaddah (mapenzi ya kweli) na athari yake katika maisha ya mtu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: