Mji mtukufu wa Karbala unapokea idadi kubwa ya watu wanaokuja kufanya ziara ya Ashura mbele ya malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) na kuhuisha utiifu wao kwa Ahlulbait (a.s).
Atabatu Abbasiyya imeweka utaratibu maalum wa kupokea mazuwaru katika mwezi wa Muharam na kuwapa huduma bora kulingana na mahitaji yao.