Chuo kikuu cha Alkafeel kinafanya mitihani ya awamu ya pili kwa wanachuo wake

Chuo kikuu cha Alkafeel kinafanya mitihani ya awamu ya pili kwa wanafunzi wake wa mwaka wa masomo 2024 – 2025.

Uongozi wa chuo umesema kuwa, mitihani inaendelea vizuri chini ya usimamizi wa moja kwa moja kutoka kwa viongozi wa malezi na idara.

Chuo kimeweka mahitaji yote ya lazima kwa ajili ya mitihani, na kimeandaa mazingira rafiki kwa wanafunzi.

Chuo hufanya maandalizi makubwa kwa wanafunzi wake ili kupata matokeo bora kimasomo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: