Jumuiya ya Skaut ya Alkafeel imeratibu semina kuhusu akili-unde kwa watumishi wake

Jumuiya ya Skaut ya Alkafeel chini ya kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya, imeratibu semina ya kuwajengea uwezo watumishi wake kuhusu akili unde.

Semina hiyo ni sehemu ya mkakati wa kuwajengea uwezo wa kutambua utengaji wa akili-unde wanaskaut na kuboresha utendaji wa watumishi wake kwa namna ambayo wataweza kutatua changamoto na kuendesha miradi kwa ufanisi.

Kuingiza matumizi ya akili-unde katika jumuiya ya Skaut ni hatua ya msingi kwa nafasi ya taasisi hiyo, ukizingatia kuwa ni taasisi ya vijana wanaotakiwa kutumia teknolojia katika utendaji wao.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: