Mji mtukufu wa Karbala hupokea makundi makubwa ya watu wanaokuja kufanya ziara katika malalo ya Imamu Hussein na ndugu yake Abulfadhil Abbasi (a.s) na kuhuisha utiifu wao kwa Ahlulbait (a.s).
Atanatu Abbasiyya imeweka utaratibu maalum wa kutoa huduma bora kwa zuwaru watukufu.






